JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kikwete ashauri mbinu za kupambana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwenye kilimo

Addis Ababa, Februari 13, 2025 – Rais Mstaafu Dkt. Jakaya mrisho Kikwete ameungana na viongozi mbalimbali wa Afrika katika kongamano la kimataifa kuhusu umwagiliaji na uzalishaji wa kilimo himilivu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, lililofanyika siku ya Jumatano mjini Addis…

Tanzania yatumia Wiki ya Nishati India kunadi vitalu vyamafuta na gesi asili

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Tanzania (PURA) imeendelea kuhamasisha wawekezaji mbalimbali duniani kushiriki katika Duru ya Tano ya Kunadi Vitalu vya utafutaji wa Mafuta na…

Majaliwa aitaka TARURA kuwasimamia wakandarasi binafsi

▪️Asisitiza Serikali itaendelea kuwawezesha wawekezaji wazawa* *▪️Aeleza mpango wa Serikali wa kukabiliana na ugonjwa wa Malaria nchini* Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala wa Brabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ihakilishe inatoa kandarasi za ujenzi na ukarabati wa barabara kwa…

Mkuu wa zamani wa Google ahofia AI inaweza kutumiwa na magaidi

Mkurugenzi mkuu wa zamani wa Google anahofia kwamba taarifa za kijasusi za Akili Mnemba zinaweza kutumiwa na magaidi au ‘majimbo matapeli’ kuwadhuru watu wasio na hatia. Eric Schmidt aliiambia BBC: “Hofu halisi niliyo nayo sio ile ambayo watu wengi huzungumza…

Baadhi ya ardhi zitarudi kwa Ukraine – Trump

Wakati wa maelezo mafupi ya Rais wa Marekani Donald Trump kwa waandishi wa habari katika Ikulu ya White House hapo awali, tulimuuliza jinsi mipaka ya Ukraine inaweza kuonekana ikiwa vita vitaisha – Je ramani zingeonekana kama zilivyokuwa kabla ya 2014?…

Makanisa yatoa wito wa kusitishwa kwa mapigano Goma

Ujumbe wa makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti umetoa wito wa kusitishwa mapigano mjini Goma wakati wa ziara ya viongozi wa waasi waliouteka mji huo mashariki mwa DRC. Askofu wa Kanisa Katoliki Donatien Nshole amesema makanisa yote mawili yameanza juhudi za…