JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kim Jong Un: Korea Kaskazini haikwepi mazungumzo na Trump

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema hana sababu ya kuyakwepa mazungumzo na Marekani kama nchi hiyo haitomshinikiza kuachana na silaha za Nyuklia. Akizungumza katika hotuba yake mbele ya bunge Jumapili 21.09.2025, Kim alisisitiza kuwa kamwe hatoachana na silaha…

Majaliwa : Serikali inatambua mchango wa taasisi za dini katika kukuza elimu na maadili

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi za dini katika kuimarisha elimu na maadili nchini, akisisitiza kuwa mchango wao ni nguzo muhimu ya mshikamano na maendeleo ya Taifa. Akizungumza jijini…

Waziri Mhagama atimiza ndoto za Rais Samia kuhusu utalii tiba

…………..Madaktari bingwa hospitali tano kwenda nchini Comoro kutoa matibabu Na Mwandishi Wetu MADAKTARI bingwa wa hospitali tano nchini wanatarajiwa kufanya kambi ya wiki moja nchini Comoro ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu Hassan alilotoa wakati wa ziara…

Sumve waombwa kupiga kura nyingi za heshima kwa CCM – Dk Biteko

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM, Taifa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe, Doto Mashaka Biteko amewahimiza wananchi wa Jimbo la Sumve, wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza kuwapigia kura wagombea wa CCM kwa kuwa Chama hicho…

Mhagama asema Samia ameandika historia kumteua Nchimbi

Na Mwandishi Wetu,Jamhuri Media-Songea Waziri wa Afya na mgombea ubunge Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama amesema mgombea Rais Samia Suluhu Hassan ameandika historia ambayo haitafutika kizazi na kizazi kwa kumteua Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza. Amesema uteuzi huo ni…

Dk.Ndumbaro aomba ruzuku ya mbolea iendelee

Mgombea ubunge Jimbo la Songea Mjini, Dk.Damas Ndumbaro amemuomba mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan aendelea kutoa mbolea ya ruzuku Kwa wakulima. Amesema wakulima wanaomba ruzuku ya mbolea iendelee kwa sababu wameondokana na adha hiyo. Akizungimza…