JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania, DRC kukuza uchumi kupitia bandari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimesaini hati ya makubaliano inayolenga kuboresha na kuimarisha miundombinu ya usafirishaji, ikiwemo bandari sambamba kuchochea shughuli za kiuchumi wa nchi hizo….

Mwalimu aliyejipatia mafao kutoka PSSF milioni 70.3 kwa udanganyifu aenda jela miaka 65

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu Mei 7, 2025 ilimtia hatiani Mwalimu Emmanuel Pamba Evarist katika shauri la Uhujumu Uchumi namba 9350/2024 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Mhe. Martha Mahumbuga, akiwepo…

Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Simanjiro afikishwa mahakamani kwa rushwa

Katika Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, Mei 8, 2025 limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 11041/2025 mbele ya Onesmo Nicodemo, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Simanjiro Samuel Warioba…