JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

SADC yalaani mauaji ya vikosi vyake yaliyotekelezwa na M23

Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) inalaani mauaji ya vikosi vyake yaliyotekelezwa na M23 mashariki mwa DRC, na kutaja mashambulizi hayo kama “kitendo cha uchokozi.” “Kutafuta upanuzi wa eneo kwa M23 kunafanya hali ya kibinadamu na usalama kuwa…

NEMC yaipongeza EACOP kwa kuhifadhi ikolojia ya Mto Sigi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Usimamizi la Mazingira la Taifa (NEMC) imeupongeza uongozi wa kampuni ya Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kulinda ikolojia ya Mto Sigi na kuhifadhi mazingira katika…

Kamati ya Bunge yaipongeza Serikali ujenzi wa vivutio vipya vya kujazia gesi kwenye magari CNG

๐Ÿ“Œ Kituo mama cha CNG katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhudumia magari 1,200 kwa siku ๐Ÿ“Œ Serikali yaendelea kuhamasisha Sekta binafsi ujenzi wa vituo vya CNG Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Shirika la Maendeleo…

Rais wa Benki ya AfDB awasili nchini

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, amewasili nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, utakaofanyika tarehe 27 hadi 28 Januari 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha…

Rais wa Sierra Leone atua Dar

Rais wa Sierra Leone Julius Maada Bio awasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ili kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati. Rais huyo wa Sierra Leone amepokelewa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo…