JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Watatu mbaroni kwa wizi mtoto wa miezi saba, wakutwa msituni

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Jeshi la Polisi Mkoani Pwani limewakamata watu watatu wanaodaiwa walimchukua mtoto wa miezi saba, Merysiana Melkizedeck, katika tukio la uvamizi lililotokea Januari 15, 2025, ambao walikuwa wamejificha katika msitu uliopo kati ya eneo la Kimalamisale…

Bashe ahimiza ushirikiano kati ya Tume ya Umwagiliaji na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri

Na NIRC Dodoma Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amehimiza ushirikiano kati ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, katika kusimamia miradi ya Umwagiliaji nchini. Amesema Tume inatekeleza mradi wa Mifumo Himilivu ya Chakula nchini(TFSRP) lengo ni…

Waziri Kombo akutana na Waziri wa Uchukuzi wa Czech

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi wa Jamhuri ya Czech, Mhe. Ing. Martin Kupka jijini Prague Januari 18, 2025. Waziri Kombo alisema sekta ya uchukuzi ni…

Polisi Arusha wapewa pikipiki 20 kuimarisha usalama

Na Mwandishi Wetu- Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha leo Januari 24, 2025 limekabidhiwa pikipiki 20 ambazo zimetolewa na Taasisi ya Leopard Tours kwa ajili ya kuimarisha usalama mkoani humo. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul…

Tanzania, UN tourism zasaini makubaliano ya kongamano la kimataifa la utalii wa vyakula barani Afrika

Na Mwandishi Wetu- Madrid, Hispania Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa (UN Tourism) zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya Tanzania kuwa mwenyeji wa Kongamano la Pili la Kikanda la Utalii wa…

Maelfu watakiwa kuhama baada ya moto mpya kuzuka Marekani

Maelfu ya wakazi kusini mwa mji wa California wametakiwa kuondoka baada ya kuzuka moto mpya wa nyikani, kaskazini mwa Los Angeles, na kusambaa takriban kilomita za mraba 41 katika muda mfupi. Moto huo uliopewa jina la Hughes Fire, unawaka karibu…