JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mitaala 21 ya TEHAMA vyuoni yahakikiwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KATIKA kuhakikisha elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) inatolewa kwa viwango vya kisasa, Tume ya TEHAMA nchini imehakiki mitaala 21 katika vyuo mbalimbali nchini. Uhakiki huo, kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume…

Bunge laipongeza Tume ya Tehama kukipeleka Kiswahili duniani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeipongeza Tume ya TEHAMA kwa juhudi inazofanya katika kukuza sekta hiyo nchini, lakini zaidi katika jitihada za `kukiuza’ Kiswahili duniani. Pongezi hizo zimetolewa bungeni jijini Dodoma jana na…

Tanzania kuanza kuzalisha kompyuta

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma TANZANIA iko mbioni kuwa na kiwanda kikubwa cha kutengeneza kompyuta mpakato (Laptop) kitakachozalisha kompyuta aina ya Tanzanite. Aidha, nyingi ya komyuta hizo zitaelekezwa katika kukuza sekta ya TEHAMA kuanzia shule za msingi hadi sekondari. Hayo…

Haya hapa matokeo kidato cha nne 2024/2025

HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024 GUSA CHINI https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/csee/CSEE2024/CSEE2024.ht Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya watahiniwa 557,796 ya mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwezi Novemba mwaka 2024, ambapo wasichana…

Trump apanga kuwekeza katika akili mnemba

RAIS wa Marekani, Donald Trump, ametangaza uwekezaji mkubwa katika sekta ya akili bandia, ambapo mradi huu unatarajiwa kugharimu dola bilioni 500 katika kipindi cha miaka minne ijayo. Trump alieleza kuwa utekelezaji wa mradi huu utatoa nafasi za ajira laki moja…

ACT Wazalendo yampongeza Lissu kwa ushindi

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amempongeza Tundu Lissu kwa kushinda nafasi ya uenyekiti wa Chadema baada kumshinda mstaafu Freeman Mbowe. Tundu Lissu amepata ushindi wa kura 513 sawa na asilimia 51.5 Odero Charles Odero amepata kura 1…