JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

ACT Wazalendo yampongeza Lissu kwa ushindi

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amempongeza Tundu Lissu kwa kushinda nafasi ya uenyekiti wa Chadema baada kumshinda mstaafu Freeman Mbowe. Tundu Lissu amepata ushindi wa kura 513 sawa na asilimia 51.5 Odero Charles Odero amepata kura 1…

TMA: Mwaka 2024 umevunja rekodi kwa kuwa na joto kali duniani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema mwaka uliopita 2024 umevunja rekodi kwa ongezeko la joto duniani likiongezeka kwa nyuzi joto 1.55. Akizungumza kwenye warsha ya wanahabari juu ya Utabiri wa Mvua…

Diaspora kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa

Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Czech wameahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana katika nchi hiyo kwa manufaa ya nchi na wananchi. Ahadi hiyo wameitoa Januari 18, 2025 walipofanya kikao na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…

Noti mpya za fedha kuanza kutumika Februari 1,2025

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka…

Benki Kuu yanunua tani 2.6 za dhahabu inayochimbwa nchini – Waziri Mavinde

📍 Dodoma Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imenunua tani 2.6 za dhahabu inayochimbwa na kusafishwa hapa nchini ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukabiliana na changamoto ya upungufu wa fedha za kigeni,…