Author: Jamhuri
‘Filamu ya Royal Tour imeongeza watalii asilimia 183’
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema filamu ya The Tanzania Royal Tour imechangia sekta ya utalii kuchangia pato la taifa kwa asilimia 30 huku watalii wakiongezeka kwa asilimia 183. Abdulla aliyasema hayo…
Trump kuwafuta kazi watu 1,000
Rais wa Marekani Donald Trump amepanga kuwaondoa kazini zaidi ya watu 1,000 walioteuliwa na utawala wa Rais wa zamani Joe Biden. Miongoni mwa watu watakaoondolewa kazini ni mpishi mashuhuri Jose Andres na jenerali mkuu wa zamani Mark Milley. “Ofisi yangu…
‘Jeshi na M23 wakiuka sheria ya vita’
SHIRIKA la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lasema pande zote zinazohusika na vita nchini Kongo huenda zimekiuka sheria za vita kwa kuyashambulia maeneo yenye msongamano wa raia. Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema jeshi…
Trump atia saini agizo la kuiondoa Marekani WHO
RAIS wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya kuanza mchakato wa kuiondoa Marekani kuwa mwanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO). “Hili ni jambo kubwa,” rais mpya wa Marekani aliyeapishwa alisema alipokuwa akiidhinisha hati hiyo baada ya kurejea tena…