JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Trump aahidi kuwazuia wahamiaji kuingia Marekani

Donald Trump ameahidi kuchukua hatua kadhaa za kuzuia kile alichokiita “kuanguka kwa Marekani” mara tu atakapoapishwa rasmi kama rais wa nchi hiyo Jumatatu. Akiwahutubia wafuasi wake walioujaza uwanja wa michezo wa One Sports Arena huko Washington usiku wa kuamkia Jumatatu…

Uhusiano baina ya Tanzania, Czech kung’ara

Uhusiano wa kiuchumi baina ya mataifa umeelezwa kuwa ndio uhusiano imara na bora zaidi ukilinganisha na nyanja nyingine za uhusiano duniani kwa sasa. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo…

Rais Samia, Mwinyi mitano tena

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa wamempitisha Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa Tanzania, kuwania nafasi hiyo kwa muhula mwingine katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Pia mkutano huo umempitisha…

Simba njia nyeupe

 SIMBA imeendelea kuthibitisha ni somo katika michuano ya kimaaifa baada ya leo kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0 mchezo wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Matokeo hayo yameifanya Simba ambayo tayari ilishafuzu robo fainali,…

Wazazi jamii ya kifugaji wamuomba Waziri kuingilia kati sakata la kuchukuliwa kwa watoto wao kinyemela

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Wazazi wa jamii ya Kimasai wamemuomba Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum , Dorothy Gwajima, kuingilia kati kitendo cha watoto wao kuchukuliwa kinyemela kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita kwa kuahidiwa…