JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Taifa limempoteza msomi mmoja, Balozi Juma Volter Mwapachu

Taifa limepoteza mmoja wa wasomi, wanadiplomasia, na wanasiasa waliobeba mzigo wa matumaini ya Afrika Mashariki kwa mabega mawili bila kulalamika. Balozi Juma Volter Mwapachu, aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa,…

Dk Mpango azindua matawi mawili  ya NMB Chanika, Kinyerezi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Isdor Mpango, amefungua matawi mawili mapya ya Benki ya NMB Chanika na Kinyerezi, yanayofanya mtandao wa matawi ya benki hiyo nchini kufikia 241, huku akiipongeza benki hiyo kwa…

Makonda aonya watakaopuuza msaada wa kisheria kukamatwa

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameonya kuwa mwananchi yoyote atakayekaidi kupata suluhisho kupitia msaada wa kisheria wa Mama Samia atakamatwa na Jeshi la Polisi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa yule atakayetoa rushwa ili…

Matumizi ya nishati safi ya kupikia itakavyosaidia kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mgogoro wa hali ya hewa unaleta moja ya changamoto kubwa zaidi ya wakati wetu, inayoathiri mifumo ya ikolojia, uchumi, na jamii ulimwenguni kote. Kadiri athari za mabadiliko ya hali ya hewa zinavyozidi kudhihirika,…

TARURA: Matumizi ya teknolojia mbadala katika ujenzi wa barabara na madaraja yamepunguza gharama

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema kuwa Matumizi ya teknolojia mbadala na malighafi zinazopatikana maeneo ya kazi kwaajiliya ujenzi wa barabara na madaraja imeweza kupunguza gharama zaidi ya 50. Hayo…