Author: Jamhuri
TPA yafungua milango kwa sekta binafsi kuchangamkia fursa bandarini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imeitaka sekta binafsi Tanzania kutumia fursa ya maboresho yaliyofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam kuitumia fursa hiyo kufanya biashara na kuongeza mapato ya taifa kuinua…
Wenje: Dk Silaa alitaka CHADEMA ifutwe
Na Isri Mohamed, JammhuriMedia, Dar es Salaam Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Ezekia Wenje ameonesha kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Godbless Lema akimtaka Lissu kumteua Dkt Silaa kuwa mjumbe wa kamati kuu wa Chadema, mara tu atakaposhinda…
Biden atoa hotuba ya kuaga na kuhofia utawala ujao wa Trump
Rais wa Marekani Joe Biden anayetarajia kukabidhi madaraka kwa rais mteule Donald Trump Januari 20, ametoa Jumatano jioni hotuba ya kuaga na kuelezea wasiwasi wake kwa utawala ujao. Katika hotuba hiyo, Biden amesema Marekani inaangukia mikononi mwa matajiri wachache ambao…
NEMC Kanda ya Kaskazini yaeleza mikakati na mafanikio yake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kaskazini limesema limefanisha miradi yote mikubwa kama barabara, viwanda na migodi kuwa na cheti cha Tathmini ya Athari kwa Mazingira (EIA)….
Makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza yapongezwa kimataifa
Viongozi mbalimbali wa dunia wapongeza makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka ambayo yataanza kutekelezwa rasmi Jumapili mchana. Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi, ametoa wito wa kuwasilishwa kwa msaada wa haraka wa kibinadamu katika Ukanda wa Gaza,…