Author: Jamhuri
Wizara ya Nishati yawasilisha utekelezaji wa bajeti 2024/25 katika Kamati ya Kudumu ya Bunge
๐ Maeneo ya kipaumbele yaliyotekelezwa kwa mwaka 2024/2025 yaelezwa ๐ Ni pamoja na hali ya uzalishaji na upatikanaji wa Nishati ya Umeme nchini Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga (Mb) ameongoza Menejimenti ya Wizara ya Nishati kuwasilisha taarifa utekelezaji…
Maandalizi ya mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi Afrika yafikia asilimia 95 – Dk Biteko
๐ Watanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030 kutoka milioni 5.2 ya sasa ๐ Asema Mkutano wa Mission 300 umekuwa kivutio duniani; Taasisi za Kimataifa zaonesha nia ya kushiriki ๐ Ataja sababu za mkutano wa M300 kufanyika Tanzania Na Ofisi…
Watanzania kunufaika na mashindano ya CHAN 2025, AFCON 2027
๐Mashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa ๐Rais Samia kinara wa Michezo nchini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazopatikana kuelekea mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027. Hayo…
Watumishi wafurahishwa na uzinduzi Baraza la Wafanyakazi Malinyi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro UZINDUZI wa Baraza la Wafanyakazi la Wilaya ya Malinyi, Morogoro umewafurahisha watumishi wa serikali wilayani humo kwamba, wamepata sehemu ya kueleza changamoto na kutetea maslahi yao. Akifungua kikao cha uzinduzi wa baraza hilo leo tarehe…
DC Same aagiza kukamatwa kwa waliowapa mimba wanafunzi wanne
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Same Kufuatia taarifa za ujauzito kwa wanafunzi wanne wa shule tofauti za msingi na sekondari katika kata za Kalemawe na Bendera, Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, ameagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha wahusika wa matukio…
RITA yabaini wizi wa mali ya bilioni mbili msikiti wa Manyema
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Timu ya Uchunguzi iliyoundwa na Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kuchunguza mali ya Msikiti wa Manyema, Kariakoo Jijini Dar es Salaam imebaini ubadhilifu na upotevu wa mali na fedha kiasi cha…