JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Umeme vitongojini wachochea uchakataji mazao Katavi

📌Wakandarasi watakiwa kuacha maneno, ahadi na michakato wamalize mradi kwa wakati 📌Bilioni 57.3 kupeleka umeme vitongoji 358 mkoani Katavi 📌Ajira kupewa kipaumbele 📍Katavi Imeelezwa kuwa mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Awamu ya Pili B (HEP 2B) unakwenda kuongeza…

Serikali yapongeza Kituo cha Kairuki Green IVF kwa mtambo mpya wa kusaidia upandikizaji mimba

……..Yaahidi kuendelea kushirikiana na KHEN kuenzi maono ya Kairuki Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk Seif Shekalaghe, amezindua mtambo mpya wa kisasa wa teknolojia ya Laser ambao utasaidia kwenye uchambuzi wa viini…

Dk Mwigulu amkabidhi Nanauka hundi ya bilioni 200/-

*Ni utekelezaji wa ahadi za Rais Dkt. Samia ndani ya siku 100 tangu achaguliwe WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekabidhi hundi ya shilingi bilioni 200 kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ikiwa ni utekelezaji…

Mazungumzo kuhusu amani ya Ukraine yakamilika

Ukraine na Urusi zimekamilisha duru ya pili ya mazungumzo yanayosimamiwa na Marekani huko Abu Dhabi yanayolenga kufikisha mwisho vita kati ya nchi hizo mbili. Duru mpya ya mazungumzo inatarajiwa kufanyika hivi karibuni. Ukraine na Urusi zimehitimisha duru ya pili ya…

Urusi na Ukraine zabadilishana wafungwa

Ukraine na Urusi zimefanya ubadilishanaji wa wafungwa wa vita na raia baada ya siku mbili za mazungumzo ya amani yanayosimamiwa na Marekani huko Abu Dhabi. Jumla ya Waukraine 157 – saba kati yao wakiwa raia – na wanajeshi 157 wa…

Wasira asisitiza umoja CCM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza umoja wa wanachama ndiyo uliokiwezesha chama kufanya mambo makubwa. Wasira alisema hayo leo mjini Bunda katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 49 ya kuzaliwa kwa CCM….