JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mwambene, Maro wakabidhiwa vitambulisho vya uandoshi wa habari

Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene, pamoja na mpiga picha wa zamani wa Rais, Ikulu, Fredrick Maro, wamekabidhiwa rasmi vitambulisho vyao vya Uandishi wa Habari (Presscard) leo tarehe 07…

Rais Samia, Mwinyi wamlilia Ndugai

Rais  wa Tanzania,  Dk Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, wametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge la  Tanzania, Job Ndugai kilichotokea leo…

Uingereza yaweka sheria kudhibiti upasuaji wa kubadili maumbile

Serikali ya Uingereza imetangaza mipango ya kukabiliana na biashara ya upasuaji kwa ajili ya kuboresha muenekano ikiwemo kuongeza makalio, kuongeza ukubwa wa viungo kama midomo na kuondoa makunyazi usoni. Hatua hizo zinadhamiria kuwalinda watu walioko chini ya umri wa miaka…

Mwanajeshi wa Marekani awafyatulia risasi wenzake kambini

Wanajeshi watano wa Marekani walijeruhiwa baada ya sajenti wa Jeshi la Marekani kufyatua risasi kwenye kambi moja huko Georgia. Kwa mujibu wa maafisa wa kijeshi, baada ya sajenti kwa jina Cornelius Radford kuwafyatulia risasi askari wenzake katika kambi ya Fort…

Luhaga Mpina achaguliwa kuwania urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo 2025

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha ACT Wazalendo umefanya uamuzi mkubwa kwa kumchagua rasmi Luhaga Joelson Mpina kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kupitia…

Mhandisi Mramba afungua mafunzo ya teknolojia ya nishati jua kwa wataalam

📌 Yanahusu usanifu, utengenezaji, ufungaji mifumo ya Nishati Jua na matumizi yake 📌 Asema mafunzo yanalenga kuendeleza matumizi ya nishati jadidifu kama ilivyoelekezwa katika Dira 2050 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amefungua mafunzo ya wataalam kutoka…