Author: Jamhuri
Lema atangaza kumuunga mkono Lissu, amshauri Mbowe kukaa pembeni
Na Isri Mohamed, JamhiriMedia, Dar es Salaam Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Godbless Lema, ametangaza rasmi kumuunga mkono Tundu Lissu anayegombea nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho na John Heche anayegombea makamu…
Lori laua 11 waliokwenda kutoa msaada kwenye ajali Segera mkoani Tanga
Na Ashrack Miraji,JamhuriMedia, Tanga WATU 11 wamefariki dunia katika Kijiji cha Changโombe kilichopo Kata ya Segera wilayani Handeni mkoani Tanga baada ya kugongwa na lori lililokuwa limebeba saruji baada ya kupoteza uelekeo wakati walipojitokeza barabarani walipokuwa wakishanga ajali ya gari…
Rasimu ya mwisho ya kusitisha vita vya Gaza yatolewa
Wapatanishi wa mzozo wa Israel na Hamas, ambao ni Marekani, Qatar na Misri wametoa rasimu ya mwisho ya makubaliano ya kuvimaliza vita huko Gaza leo Jumatatu. Hayo yamesemwa na maafisa kwa shirika la habari la Reuters. Mazungumzo hayo yaliozusha mjadala…
DAWASA, wananchi Mshikamano wajadiliana uboreshaji huduma maji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imesema inaendelea na mchakato wa manunuzi ya pampu zitakazosaidia kuongeza ufanisi katika mtambo wa uzalishaji maji Ruvu Juu ambao husambaza maji katika maeneo…
Waandishi na wachapishaji vitabu kukutana kesho Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BODI ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), imeandaa mkutano wa waandishi na wachapishaji wa vitabu kuhusu Sheria ya amana kwenye maktaba mtandao wa taifa na ununuzi wa vitabu kwa ukuzaji wa soko la…
Megawati 30 za jotoardhi kuingia kwenye gridi ifikapo 2026/ 2027 – Dk Kazungu
๐ Anadi fursa za uwekezaji miradi ya Jotoardhi Baraza la 15 IRENA ๐ Asema Tanzania ina maeneo 50 yenye vyanzo vya Jotoardhi ๐ Ngozi, Kiejombaka, Songwe na Luhoi yatajwa kuwa miradi ya kimkakati uzalishaji Jotoardhi Abu Dhabi, UAE Imeelezwa kuwa…