Author: Jamhuri
Maria Sarungi atekwa Nairobi
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amesty International nchini Kenya limeripoti kutekwa kwa Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Binadamu Mtanzania Maria Sarungi Tshehai leo katika eneo la Kilimani jijini Nairobi Nchini Kenya. Taarifa ya Shirika hilo imesema watekaji…
Kisiwa cha Mayotte kukabiliwa na kimbunga kipya Jumamosi
Kimbunga Chido kilisababisha uharibifu mkubwa, na kuua watu wasiopungua 39 na kujeruhi wengine zaidi ya 5,600 katika kisiwa hicho ambacho kinakaliwa na Ufaransa mashariki mwa Afrika. Wakazi wa kisiwa cha Mayotte wanajiandaa kwa dhoruba ya upepo mkali na mvua kubwa…
Watu 21 wauawa katika shambulizi la genge nchini Nigeria
MSEMAJI wa Polisi ya Nigeria, Abubakar Sadiq Aliyu, amesema msafara wa wanamgambo wa serikali ulishambuliwa kwa bunduki na majambazi huko Baure, kijiji katika wilaya ya Safana. Wanamgambo wapatao 21 wanaoiunga mkono serikali ya Nigeria wameuawa katika shambulizi la kuvizia na…