Author: Jamhuri
Waziri Kabudi apokea taarifa ya vazi la taifa
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amepokea taarifa maalumu ya mapendekezo ya aina ya michoro ya vazi la Taifa kutoka kwa kamati iliyoundwa kwa ajili ya maandalizi ya vazi hilo. Waziri Kabudi amesema mchakato wa…
Mkuu wa jeshi achaguliwa kuwa rais wa Lebanon
Bunge la Lebanon limemchagua mkuu wa jeshi la nchi hiyo kuwa rais, na kumaliza ombwe la mamlaka lililodumu kwa zaidi ya miaka miwili. Joseph Aoun uliungwa mkono na vyama kadhaa vya kisiasa, pamoja na Marekani, Ufaransa na Saudi Arabia. Mpinzani…
Dk Biteko aridhishwa na ujenzi wa kituo cha Gesi Asilia CNG Ubungo
Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko, amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo kikuu cha kushindilia gesi asilia (CNG) kilichopo Ubungo, Dar es Salaam. Ametangaza kuwa kituo hicho,…
Bajaji, bodaboda marufuku kufika mjini Januari 20-RC Chalamila
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ameagiza kuwa ifikapo Januari 20 bajaji na bodaboda hazitaruhusiwa kufika mjini na maeneo yote ya katikati ya mji. Mkuu wa Mkoa ametoa maagizo yake leo January 9, 2025 jijini Dar es…
RC Chalamila afanya maandalizi ya Mkutano wa wakuu Afrika wa nishati, akagua miradi Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akagua miradi mbalimbali inayoendelea katika jiji la Dar es Salaam. Chalamila akagua miradi hiyo ikiwa ni moja ya maandalizi ya mkutano mkuu wa wakuu…
Waziri Fedha aitaka TRA kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kodi
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha WAZIRI wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania{TRA}, kuacha kuwahurumia na kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kulipa kodi ya serikali kwa makusudi bila kubugudhi biashara zao. Nchemba ameyasema hayo Jijini Arusha wakati…