Author: Jamhuri
UN: Majanga ya mazingira yaliwaacha wengi bila makazi 2024
Umoja wa Mataifa umesema kuwa mamia kwa maelfu ya watu walilazimika kukimbia majanga ya kimazingira mwaka jana, ikiashiria haja ya kuwepo mifumo ya tahadhari ya mapema kwa dunia nzima. Umoja wa Mataifa umesema kuwa mamia kwa maelfu ya watu walilazimika…
Emir wa Qatar awakutanisha Kagame, Tshisekedi
Marais wa Rwanda na DR Kongo wamekutana Jumanne nchini Qatar na kuelezea uungaji mkono wao kwa usitishaji mapigano, ilisema taarifa ya pamoja, siku moja baada ya mazungumzo ya amani nchini Angola kuvunjika. Umoja wa Ulaya hivi karibuni uliwawekea vikwazo makamanda…
Urusi na Ukraine zashambuliana baada ya mawasiliano ya Putin na Trump
Urusi na Ukraine zimeanzisha mashambulizi ya anga ambayo yaliharibu miundombinu ya kila mmoja wao, saa chache baada ya Rais Vladimir Putin kusema Urusi itaacha kuyalenga maeneo ya nishati ya Ukraine. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema malengo ya Urusi ni…
NFRA Yapanua Uwekezaji ,Ufanisi katika Sekta ya Mbolea Nchini
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Kupitia mfumo wake wa ruzuku ya mbolea,imesaidia ongezeko la matumizi ya mbolea kutoka tani 363,599 mwaka 2020/2021 hadi tani 840,714 mwaka 2023/2024. Ongezeko hilo limewezesha kuongezeka kwa matumizi ya mbolea…
Maendeleo Benki kutekeleza kwa vitendo huduma ya kifedha kidigitali
Na Magrethy Katengu,JamhuriMediaDar es Salaam MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Maendeleo Benki ,Profesa Ulingeta Mbamba amesema kuwa Maendeleo Bank imendelea kutekeleza kwa vitendo mabadiliko ya teknolojia katika sekta ya Fedha kwa kuanzisha huduma ya kidigitali ijulikanayao kama “Click Bank…
Serikali yavuna bilioni 3/- ndani ya miezi mitatu
· Ni kupitia Sekta ya Madini Kagera · Waita wawekezaji ndani na nje MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Kagera yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/…