JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Mhagama agawa mashine 185 za uchuguzi wa kifua kikuu nchi nzima

Na WAF – Dodoma Katika jitihada za kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu nchini Tanzania ifikapo 2030, Serikali imegawa mashine mpya 185 zenye thamani ya Shilingi Bilioni 7 kwa ajili ya uchunguzi na ugunduzi wa vimelea vya ugonjwa huo…

Ndejembi amaliza mgogoro uliodumu kwa miaka 30

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amemaliza mgogoro baina ya Wamiliki wa Shamba la Sisal Estate na Wananchi 400 wa Kata ya Kwashemshi Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga uliodumu kwa zaidi ya miaka…

Majaliwa: Ubora wa miradi uwiane na thamani ya fedha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wasimamizi wa miradi inayotekelezwa na Serikali ikiwemo ya elimu kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kwa ubora unaolingana na thamani ya fedha iliyotolewa. Ametoa wito huo leo wakati wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari…

Tembo amuua mtalii aliyekuwa akimwogesha Thailand

Tembo amemuua mwanamke mmoja raia wa Uhispania alipokuwa akimwogesha mnyama huyo katika kituo cha tembo nchini Thailand, wamesema polisi wa eneo hilo. Blanca Ojanguren García, 22, alikuwa akiosha tembo katika Kituo cha Kutunzia Tembo cha Koh Yao, siku ya Ijumaa…

Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ajiuzulu

Kufuatia shinikizo kubwa kutoka kwa chama chake, Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau ametangaza kujiuzulu na kumaliza kipindi chake cha miaka tisa ya uongozi. Trudeau amesema atakaa madarakani hadi Chama chake cha Liberal kiweze kuchagua kiongozi mpya, na bunge litaahirishwa…