JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Madini ya Bati fursa zipo nyingi njooni โ€“ Mkopi

Hutumika kwenye mifumo ya kielektroniki ya simu, ndege, vyuma vya reli ยท Yaleta ukombozi kwa wananchi Kyerwa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera MADINI ya Bati (Tin) yameendelea kuwa na mchango kwenye maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini mkoani Kagera…

Kamati ya Bunge yakagua mradi wa nyumba NSSF Mtoni Kijichi, Kikwete asifu ustahimilivu NSSF

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wametembelea na kukagua Mradi wa Nyumba za Mtoni Kijichi awamu ya Tatu unaomilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo Machi 16, 2025 Jijini Dar es…

Israel yafanya mashambulizi Gaza ikidai kuwalenga Hamas

Jeshi la Israel limesema limefanya hivi leo mashambulizi ya anga katikati na kusini mwa Gaza na kuwalenga wanamgambo waliokuwa wakijaribu kutega mabomu karibu na vikosi vyake vilivyoko katika ukanda huo. Taarifa hiyo imetolewa baada ya mamlaka za Palestina kusema kuwa…

Rwanda yavunja uhusiano na Ubelgiji

Serikali ya Rwanda imetangaza kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Ubelgiji, ikidai kuwa Ubelgiji imekuwa ikiidhoofisha Rwanda wakati wa mzozo unaoendelea mashariki mwa DR Congo. Ubelgiji nayo imetangaza kuwafukuza wanadiplomasia wa Rwanda, na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji, Maxime…