JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Simba yaifanyia umafia Dodoma Jiji, yainyuka 6 -0

Timu ya Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo a Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge, Dar…

Tanzania, Ireland kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo

Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza uhusiano wa kidiplomasia, biashara, na uwekezaji kati ya Nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo rasmi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje…

Kamati ya Bunge yaridhishwa na utendajikazi wa TPA bandari ya Tanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu imesema imeridhishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika Bandari ya Tanga hasa baada ya maboresho makubwa ya miundombinu yaliyofanywa na Serikali bandarini…

Askari wa Usalama Barabarani Mlandizi watakiwa kuendelea kusimamia vyema sheria

Na Mwandishi, Jeshi la Polisi, Mlandizi Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani Wilaya ya Kipolisi Mlandizi Mrandizi Msaidizi wa Polisi (ASP) Rose Mbaga amekutana na Askari wa kikosi hicho na kuwataka kutekeleza majukum yao kwa Mujibu wa sheria ili kupunguza…

Watumishi wa ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali watakiwa kuendelea kuzingatia maadili ya utumishi umma

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dodoma MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Hamza Johari amewataka Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma ili waweze kutoa huduma bora kwa Wananchi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali amezungumza hayo wakati…

DC Kibaha afungua Baraza Kuu la Wafanyakazi Dawasa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha MKUU wa Wilaya ya Kibaha, Nickson Simon amefungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA). Akifungua kikao hicho katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu…