Author: Jamhuri
Dodoma jiji kinara matumizi ya teknolojia kwenye elimu – mbunge Mavunde
▪️Agawa Kompyuta na Printa kwa shule zote za Sekondari za Jiji la Dodoma ▪️Azindua maabara ya lisasa ya Kompyuta ▪️Matumizi ya teknolojia yaongeza ufaulu ▪️Rais Samia apongezwa kwa kuboresha miundombinu ya elimu Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh….
Masoko ya hisa ya kimataifa yaporomoka
Masoko ya hisa barani Asia yameshuka baada ya mauzo ya hisa nchini Marekani kupanda kutokana Rais Donald Trump kutotoa hakikisho kwamba ushuru wake unaweza kusababisha mdororo katika uchumi mkubwa zaidi duniani. Kuporomoka kwa hisa hizo kumefuatia maoni ya Trump kwamba…
Marekani yakamilisha mchakato wa kufuta miradi 5,200 ya USAID
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio amesema mchakato wa serikali ya Rais Donald Trump wa kusitisha misaada kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la USAID umekamilika. Kwenye mtandao wa X, Rubio amesema baada ya wiki sita za…
Papa ataendelea kubaki hospitali kwa matibabu
Madaktari wamesema Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis atasalia hospitalini kwa siku nyingine kadhaa. Taarifa iliyotolewa na Vatican jana Jumatatu ilisema papa Francis anaendelea vizuri na matibabu. Taarifa hiyo iliongeza Papa Francis licha ya kuonekana kupata nafuu siku chache zilizopita,…
Tanzania kuadhimisha kitaifa Siku ya Haki ya Mtumiaji Machi 15 Morogoro
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TANZANIA inatarajiwa kuungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Haki ya Mtumiaji Duniani Machi 15, 2025 ambapo kitaifa maadhimisho hayo yatafanyika mjini Morogoro yakiongozwa na kauli mbiu isemayo ‘Matumizi endelevu ya rasilimali…
Mwakinyo ashikiliwa na Polisi Tanga kwa tuhuma za kujeruhi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea na uchunguzi wa tukio la Bondia Hassan Mwakinyo (29) tuhuma za kumjeruhi na kumshambulia mkazi wa Sahare Jijini Tanga Mussa Ally (21) mvuvi mkazi wa Sahare Jijini Tanga….