Author: Jamhuri
Upanuzi kituo cha kupoza umeme Mbagala mbioni kukamilika
๐Awamu ya kwanza ya upanuzi wa Kituo Megawati 45 yakamilika ๐Asema wananchi wa Mbagala na Temeke watapata umeme wa uhakika. ๐Awataka wananchi wa Mbagala kuendelea kuwa wavumilivu wakati wa utekelezaji wa Mradi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi…
Zaidi ya bilioni 17/- kusambaza umeme vitongojini Singida
๐Kunufaisha Kaya 3,960 kutoka katika Vitongoji 120 ndani ya Wilaya Tano ๐Vitongoji 15 katika kila Jimbo la uchaguzi kunufaika ๐RC Dendego amshukuru Rais Samia na aipongeza REA kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuhakikisha vitongoji vyote vilivyosalia vinapatiwa umeme Na Mohamed…
Waziri Chana atoa wito kwa nchi wanachama kushirikiana katika uwekezaji wa teknolojia
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Rais mpya wa Baraza la 14 la Usimamizi wa Mkataba wa Lusaka (LATF), Balozi Dkt. Pindi Chana, ametoa wito kwa nchi wanachama wa Mkataba huo kushirikiana katika uwekezaji wa teknolojia, uvumbuzi, na mifumo ya kisasa…
Majaliwa ateta na Waziri Mkuu wa Cรดte dโIvoire
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Cรดte dโIvoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, jijini Abidjan. Akitoa ufafanuzi mara…
Wanafunzi St Anne Marie Academy watoa msaada kituo cha yatima Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy wametoa msaada wa vitu mbalimbali kwenye kituo cha kulea yatima cha CHAKUWAMA jijini Dar es Salaam. Msaada uliotolewa na wanafunzi wa kidato cha sita wa…
Trump atangaza kuiondolea vikwazo vyote Syria
RAIS wa Marekani Donald Trump ametangaza kuiondolea vikwazo vyote Syria akisema kwamba ni wakati wa nchi hiyo “kusonga mbele” na hivyo kuipa nafasi ya kuanza kuufufua uchumi wake ulioporomoka kutokana na vita. Rais Donald Trump alisema kuwa Marekani haina mshirika…





