JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Nishati safi yarahisisha zoezi la uchomaji nyama

Wafanyabishara wa nyama choma Jijini Arusha wamesema kuwa uchomaji nyama kwa kutumia majiko ya Nishati Safi ya kupikia kumerahisisha zoezi la uchomaji na kuongeza ladha ya nyama. Wamesema kuwa majiko hao yamekuwa yakichoma kiasi kikubwa cha nyama kwa Muda Mfupi…

EWURA: Utafiti unaonesha endapo gesi asilia itatumika kwenye usafiri wa umma gharama za maisha zitapungua

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam UTAFITI uliofanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) umeonesha kuwa endapo gesi asilia itatumika kwa kiasi kikubwa kwenye usafiri na usafirishaji gharama za maisha zitapungua. Hayo yameelezwa na…

Utafiti: Gesi asilia ikitumika kwenye usafiri wa umma gharama za maisha zitapungua

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam UTAFITI uliofanywa hivi karibuni umeonesha kuwa endapo gesi asilia itatumika kwa kiasi kikubwa kwenye usafiri na usafirishaji gharama za maisha zitapungua. Hayo yameelezwa kwenye ripoti ya Utafiti huo uliofanywa na Dkt. Achilana Mtingele…

TEF kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa kuchagua viongozi wapya

Na Mwandishi Wetu JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limeandaa Mkutano Mkuu Maalum wa wanachama wake wote, ambao umepangwa kufanyika Aprili 3 – 5, 2025, katika Manispaa ya Songea, mkoaniRuvuma. Mgeni rasmi katika mkutano huo wenye kauli ya ‘Uchaguzi Huru na…

Rais Ruto, Odinga watia saini mkataba wa kisiasa kwa ajili ya umoja wa taifa

Rais wa Kenya, William Ruto, na Kiongozi wa Upinzani, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, wametia saini rasmi mkataba wa kisiasa unaoashiria juhudi mpya za kushirikiana katika uongozi wa serikali moja. Mkataba huo, ambao umeunganisha chama tawala cha United Democratic…

DC Ndile awapongeza wabunge Mhagama, Msongozi

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Kapenjama Ndile ametoa pongezi kwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama pamoja na Mbunge viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Jacklin Ngonyani Msongozi kwa…