Author: Jamhuri
Maonesho ya ‘Tanzania Dental Expo’ kuleta mapinduzi ya sekta ya afya ya kinywa na meno nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam, Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na wadau wa kinywa na meno wamewataka Watanzania na taasisi mbalimbali kujitokeza kwa wingi kushiriki katika maonesho ya huduma ya kinywa na meno…
Serikali inaboresha miundombinu ya umeme Kibiti kuondoa changamoto ya umeme – Kapinga
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya ya Kibiti ili kuondokana na tatizo la kukatika kwa umeme…
Shule za Tusiime kufundisha program za kompyuta kuanzia shule ya awali
Na Mwandishi Wetu, JamhiriMedia, Dar es Salaam KATIKA jitihada za kuendana na mtaala mpya wa elimu uliozinduliwa hivi karibuni na Serikali, unaojumuisha Mahili 11 yanayolenga kuendeleza ujuzi na stadi kwa wanafunzi, shule za Tusiime zimechagua program za Kompyuta kama kipaumbele…
Marekani na China zakubaliana kupunguziana ushuru
Waziri wa Fedha wa Marekani Scott Bessent, ametangaza makubaliano ya ushuru wa forodha kati ya Marekani na China. Besented: Ushuru kushuka kwa 115% Bessent amesema baada ya majadiliano “madhubuti”, Marekani na Uchina zimekubaliana kusitisha ushuru uliopandishwa kwa siku 90 “kwa…
Bejeti ya matumizi, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia yaomba kuidhinishiwa trilioni 2.4
Ili kuwezesha utekelezaji wa malengo yaliyoanishwa kwa mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Taasisi zake imeomba Bunge kuidhinisha makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye jumla ya shilingi Trilioni 2.439 Kati…





