Author: Jamhuri
Tanzia; Charles Hilary afariki dunia
Charles Hilary (66), ambaye alikuwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, amefariki dunia. Hilary amefariki alfajiri ya leo na taarifa kutoka kwa watu wa karibu wamesema ameugua ghafla…
Serikali itaendelea kuiamini na kuiunga mkono Red Cross – Dk Biteko
๐ DkT Biteko amwakilisha Rais Samia Mkutano wa mwaka Red Cross๐ Awataka kutembea kifua mbele kwa kazi za Kudumisha Ubinadamu๐ RED CROSS yaishukuru Serikali kwa kuungwa mkonoย Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea…
Dk Biteko ashiriki Tulia Marathon Mbeya
๐ Ampongeza Dkt. Tulia kwa ubunifu na kusaidia wahitaji ๐ Wananchi 9,000 wapata bima za afya kupitia Tulia Marathon ๐ Awashukuru wadau na wasanii kwa kushiriki Tulia Marathon Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri…
Makala : Changamoto za barabara Ulanga na Malinyi zitafanyiwa kazi
โขAkiri kupokea changamoto za barabara, Maji, Umeme na maombi ya hospitali ya Wilaya ya Ulanga ULANGA: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla amesema pamoja na mafanikio ya miradi mingi ya maendeleo amepokea…
Tanzania, DRC kukuza uchumi kupitia bandari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimesaini hati ya makubaliano inayolenga kuboresha na kuimarisha miundombinu ya usafirishaji, ikiwemo bandari sambamba kuchochea shughuli za kiuchumi wa nchi hizo….
Mwalimu aliyejipatia mafao kutoka PSSF milioni 70.3 kwa udanganyifu aenda jela miaka 65
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu Mei 7, 2025 ilimtia hatiani Mwalimu Emmanuel Pamba Evarist katika shauri la Uhujumu Uchumi namba 9350/2024 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Mhe. Martha Mahumbuga, akiwepo…





