Author: Jamhuri
WMA yatoa onyo kwa wanaotumia vipimo batili kuwapunja wakulima
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma KAIMU Meneja wa Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) Mkoa wa Njombe, Henry Msambila, ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara na watu wote wanaotumia vipimo batili kwa lengo la kuwapunja wakulima, akibainisha kuwa kitendo hicho ni kosa…
Rais Samia atengua uteuzi wa Polepole, aondolewa hadhi ya ubalozi
Na Mwandishi Wetu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia Katibu Mkuu wake, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo imeeleza kwamba imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Moses Kusiluka ikitaarifu kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu…
Polisi yawashikilia waandishi wa habari wawili Manyara
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linawashikilia waandishi wa habari wawili Julius Msagati wa EATV na Given Mashati wa A24 waliokuwa mkoani humo kufuatilia upigaji kura za maoni ngazi ya udiwani leo eneo la Mererani. Kamanda wa Polisi Mkoa…
Maonesho ya Mashariki Creative Economy Expo 2025 kuzinduliwa rasmi Dar
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Culture and Development East Africa (CDEA) kwa kushirikiana na Tamasha, Tuzo za Filamu pamoja Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameandaa maonyesho ya Mashariki Creative Economy Expo 2025 ambapo yatawakutanisha wadau mbalimbali wa Sekta…
Umwagiliaji una mchango mkubwa katika maendeleo Dira ya 2050
NIRC, Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Bw. Raymond Mndolwa amesema Serikali imefanya maamuzi mahususi kuwekeza katika Kilimo cha Umwagiliaji ili kuweza kuwa na mchango katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Mndolwa amesema hayo katika…
TADB yaleta mapinduzi ya sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi visiwani Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Upatikanaji wa huduma za Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) visiwani Zanzibar umefungua fursa mpya za kiuchumi kwa wakulima, wafugaji na wavuvi. Kupitia mikopo nafuu, elimu ya kifedha na uhusiano wa moja kwa moja na…