JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Makamu wa Rais ashiriki kumbukizi ya miaka 103 ya kuzaliwa Baba wa Taifa

…………………………………………………………………… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere alisisitiza sana Watanzania kulinda amani na umoja katika nchi, aliamini kwa dhati usawa wa binadamu na ujenzi…

Sanaa ni uchumi – Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejidhatiti kuendelea kukuza na kuimarisha sanaa nchini ikiwa ni moja ya sekta rasmi ya kiuchumi. Ametoa kauli hiyo leo Jumapili (Aprili 13, 2025) katika Kongamano la Chama cha Wafawidhi wa Matukio Tanzania, linalofanyika Olasiti Garden,…

Dk Dimwa : CCM imejipanga kushinda 2025

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,amesema CCM itawachukulia hatua za kimaadili  viongozi,watendaji na wanachama watakaobainika kujihusisha na vitendo vya kuhujumu mchakato wa ndani ya Chama wa kura za maoni.   Hayo ameyasema wakati akizungumza na Kamati…

Wananchi waipa tano Serikali kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara na daraja Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Wananchi wa vijiji vya Mkenda Nakawale Halmashauri ya Songea vijijini pamoja na wananachi wa kijiji cha Mitomoni Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa…

Kikwete awasilisha ujumbe maalumu wa Rais Samia nchini Guinea ya Ikweta

Rais Mstaafu wa Tanzania na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasilisha Ujumbe Maalum ambao ulipokewa na Waziri wa Nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Guinea ya Ikweta, Simeon Oyono Esono Angue,…

Wakili wa kimataifa Amstedam aingilia kati sakata la Lissu

Katika kile kinachoonekana kama hatua kubwa ya kidiplomasia na kisheria, wakili maarufu wa kimataifa, Robert Amsterdam, ametangaza kuingilia kati na kutetea haki za Tundu Lissu, mwanasiasa mashuhuri na mpambanaji wa demokrasia nchini Tanzania. Hii inafuatia kukamatwa kwa Lissu na viongozi…