Author: Jamhuri
Diwani Mussa aongoza harambee ujenzi Ofisi wafanyabiashara Pugu Mnadani
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam LICHA ya kufanya harambee kwa ajili ya kujenga ofisi ya wafanyabiashara wa Pugu Mnadani imeelezwa kuwa kuna changamoto ya wafanyabiashara kupeleka ngo’mbe zao moja moja kwa moja kwenye machinjio bila kupitisha kwenye Mnada hali…
Tume ya Madini yatoa bei mpya madini ya vito
TUME ya Madini kupitia Kurugenzi ya Ukaguzi na Biashara ya Madini, imekutana na wadau wa madini ikiwemo Wathaminishaji wa Madini, Wachimbaji Wadogo na Wanunuzi ili kupanga bei elekezi ya madini ya vito. Akizungumza jijini Dodoma, Mkurugenzi wa Ukaguzi na Biashara…
RT yafanya marekebisho ya usimamizi wa mchezo wa riadha nchini
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Mwanza Mkutano maalumu wa marekebisho ya katiba ya Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) umefanyika jijini Mwanza kwa kuhusisha wadau mbalimbali wa michezo na viongozi wa Riadha kutoka mikoa zaidi ya 20 ya Tanzania Bara. Lengo kuu…