JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Mkuu aupongeza mradi wa EACOP kwa kutoa kipaumbele cha ajira kwa wazawa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa ameupongeza mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kuajiri Watanzania zaidi ya elfu sita wanaohudumu kwenye mradi huo mkubwa wa…

Watu 23 wauawa kufuatia shambulio la Israel Gaza

Ndege za kijeshi za Israeli zimeshambulia jengo la makaazi ya watu katika eneo la kaskazini mwa Gaza lililoharibiwa kwa vita na kusababisha vifo vya takriban watu 23. Vifo hivyo vimeripotiwa wakati mapigano yaliyoanza upya hivi karibuni katika ukanda huo yakionyesha…

Fisi waharibifu wazidi kudhibitiwa Simiyu, Kongwa

Na Sixmud Begashe, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii imeendelea kuongeza jitihada zaidi za kukabiliana na Wanyamapori wakali na waharibifu hususani Fisi katika maeneo mbalimbali hapa nchini ili kuhakikisha wananchi wanaendelea kuishi kwa amani na usalama. Akizungumzia jitihada hizo…

Poland yaonesha nia kushiriki ujenzi wa SGR

Na Benny Mwaipaja, Warsaw-Poland Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameishukuru Serikali ya Poland kupitia Shirika lake la Bima (KUKE), kwa kuonesha nia ya kudhamini upatikanaji wa fedha kwa ajili ya Ujenzi wa kipande cha 3 na…