Author: Jamhuri
TARURA kuanza kutangaza zabuni za mwaka 2025/2026
*Barabara zenye changamoto kufikiwa *Zipo barabara zenye kipaumbele kwa jamii Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff amewaagiza Mameneja wa Mikoa nchi nzima kuanza kutangaza zabuni za mwaka…
Tanzania yanadi fursa za biashara na wawekezaji Vietnam
Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na makumpuni ya Viet Nam, ambapo wamenadi fursa mbalimbali…
Tume ya TEHAMA ilivyoshiriki kwa mafanikio sherehe za Mei Mosi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya TEHAMA (ICTC) imeshiriki kikamilifu katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani mwaka huu ambazo kwa Jiji la Dar es Salaam, ziliongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila. Ikiwa ni taasisi…
Halmashauri zatakiwa kusimamia sheria ya mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI imezitaka halmashauri zote nchini kuendelea kusimamia kikamilifu Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Sura 191 ili kuzuia uchimbaji wa mchanga kudhibiti kupanuka kwa mito huku ikiendelea kutenga fedha za kukabiliana na changamoto hiyo. Sanjari hilo…
Man United na Tottenham zaona ‘mwezi’ michuano ya Europa
Ushindi mnono wa Manchester United na Tottenham Hotspurs kwenye mkondo wa kwanza wa nusu fainali za Ligi ya Europa zimeamsha matumaini mapya kwa vikosi hivyo vya England. Ushindi huo umeleta matumaini kwa timu hizo kushinda kombe hilo na kufuzu kushiriki michuano…
Kujiondoa kwa Marekani kutatingisha pakubwa miradi ya kiafya – WHO
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuwa uamuzi wa kujiondoa kwa mfadhili wao mkubwa Marekani kutatingisha pakubwa miradi ya kiafya ya shirika hilo la umoja wa mataifa. Mkuu wa WHO Tedros Ghebreyesus ametoa wito kwa mataifa mengine yaendelee kuchangia ili…





