JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Chelsea yashinda Kombe la Dunia la Vilabu

Klabu ya soka ya Uingereza, Chelsea, imeshinda Kombe la Dunia la Vilabu kwa kuichakaza klabu ya soka ya Ufaransa, Paris Saint-Germain bao 3-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa usiku wa kuamkia leo nchini Marekani. Ushindi huo wa Chelsea kwenye dimba…

Mwaipaja: Endeleeni kutumia majukwaa ya Wizara ya Fedha kujifunza

Na. Peter Haule na Joseph Mahumi,WF, Dar es Salaam Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja amewataka wananchi kuendelea kutumia majukwaa ya Wizara hiyo kujifunza kuhusu uchumi na fedha baada ya kuhitimishwa kwa Maonesho ya…

Wananchi Manyara wanatambua falsafa za Mwenge wa Uhuru – RC Sendiga

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Manyara Mbio za Mwenge wa Uhuru hufanyika kila mwaka na kukimbizwa nchi nzima ikiashiria kuangaza nchi na kuvuka mipaka kuleta matumaini palipo kukata tamaa, upendo palipo uadui na heshima palipo chuki. Mwenge wa Uhuru hapa nchini…

Waziri Mkuu aiagiza TANTRADE kufanya tafiti ya masoko ndani na nje ya nchi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kuendeleza juhudi za kutafuta masoko ya nje ili kuongeza mauzo yatakayowezesha nchi kupata fedha za Kigeni. Amesema kuwa TanTrade inapaswa kufanya tafiti za uhakika na uchambuzi wa masoko…

Dk Mwamba ahamasisha wanawake kuwa mabalozi wa mabadiliko

Na Josephine Majura, WF, Dodoma Wanawake wamehamasishwa kujitokeza kwa wingi kushiriki na kupiga kura katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kifanyika mwezi Oktoba mwaka huu ili kutimiza haki yao ya kidemokrasia. Wito huo umetolewa jijini Dodoma na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya…

Serikali yashusha neema Mara, bil. 5.7 kutumika kwa ujenzi wa shule ya wasichana na amali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule mbili mkoani Mara ambazo ni shule ya Sekondari ya Wasichana Mara…