Author: Jamhuri
ACT -Wazalendo : Mwaka 2025 ni mwaka wa mabadiliko
………………… .Hotuba ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndg. Dorothy Jonas Semu kwa Halmashauri Kuu tarehe 23 Februari, 2025 Ndugu Mwenyekiti wa ChamaNdugu Makamu Mwenyekiti BaraNdugu Makamu Mwenyekiti ZanzibarNdugu Viongozi, wajumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati KuuNdugu Mwenyekiti wa…
Bilioni 51 za Rais Samia zaleta neema Manispaa Tabora
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepongezwa kwa kupeleka zaidi ya sh bil 51 katika halmashauri ya manispaa Tabora kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo tangu mwaka 20201….
STAMICO yapongezwa kwa maono na mafanikio makubwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limepongezwa kwa kasi kubwa ya maendeleo lililoyapata kwa miaka michache iliyopita. Hayo yamesemwa leo tarehe 22 Februari, 2025 na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo kwenye…
RC Mtanda: Ucheleweshaji fidia unarudisha nyuma maendeleo yetu
Wananchi wa Kata ya Shibula Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza wameiomba Serikali kuharakisha ulipaji wa fidia ili waweze kuendelea na uwekezaji katika maeneo mengine huku wakieleza kuwa ucheleweshwaji wa fidia hiyo umekuwa ukirudusha nyuma maendeleo yao. Hayo wameyabainisha February 21,…
Mfuko wa Dunia Global Fund watembelea Bohari ya Dawa MSD
Ujumbe wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na magonjwa ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) ukiongozwa na Mkurugenzi Mwakilishi – Afrika Bwana Linden Morrison umetembelea MSD kwa lengo la kupata mrejesho wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ambayo Global…