Author: Jamhuri
Pwani kuzindua kampeni msaada wa kisheria ya Mama Samia Feb 24, 2025
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Alhaji Abubakari Kunenge, ametangaza kuwa mkoa wa Pwani utazindua rasmi Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, ‘Samia Legal Aid’, tarehe 24 Februari 2025. Uzinduzi huo utafanyika katika Viwanja…
DAWASA yawatangazia fursa wenyeviti wa mitaa
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia Dar es Salaam KAIMU Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire ametangaza fursa lukuki kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Kigamboni zitakazotokana na…
Tanzania yashinda uchaguzi kiti cha Bodi ya Mfuko wa Ubora wa Huduma wa Umoja wa Posta Duniani
📍BERNE, USWIS📍 Tanzania imeibuka kidedea katika uchaguzi wa mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Ubora wa Huduma wa Umoja wa Posta Duniani katika uchaguzi uliofanyika leo tarehe 21 Februari, 2025 Makao Makuu ya Umoja wa Posta Duniani (UPU) jijini Berne,…