JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kash Patel achaguliwa kuwa mkuu wa FBI

Juhudi za utawala wa Rais Donald Trump katika kuimarisha usalama wa taifa na idara za usalama zimepiga hatua muhimu baada ya Seneti kupiga kura ya kuidhinisha uteuzi wa Kash Patel kuwa Mkuu wa Idara ya Upelelezi ya Marekani (FBI) na…

Selikali kuboresha mazingira ya watafiti na wabunifu wa TEHAMA nchini

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha SERIKALI imeanza maandalizi ya ujenzi na ukarabati wa vituo vinane vya ubunifu katika mikoa minane ili kuboresha mazingira ya watafiti na wabunifu wa TEHAMA nchini. Aidha Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imezindua kampeni…

UN ina wasiwasi na hatua ya kusonga mbele M23

Kundi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, linasonga mbele kwenye hujuma zake katika maeneo ya kimkakati, mashariki mwa nchi hiyo, baada ya kuiteka miji miwili muhimu. Umoja wa Mataifa umetowa tahadhari hiyo jana Jumatano, ukionesha msisitizo wa kitisho cha…

Rais Donald Trump amuita Zelensky dikteta

Rais wa Marekani Donald Trump amemuita Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine dikteta anayekataa kuitisha uchaguzi na kumuonya kwamba anabidi kuchukua hatua za haraka kutafuta amani au kupoteza nchi yake. “Amekataa kufanya uchaguzi, hana umaarufu katika kura za maoni ya Waukraine…

Waziri Mhagama apongeza kiwanda pekee kinachotengeneza maji tiba nchini

……. Ni cha Kairuki Pharmaceuticals Industry Limited Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amekipongeza kiwanda cha kutengeneza maji tiba cha Kairuki Pharmaceuticals Industry Limited kilichoko Mkoa wa Pwani. Alitoa pongezi hizo jana alipotembelea kiwanda hicho kwa…