Author: Jamhuri
NHIF iliokoa maisha ya mwanangu – RAS Tabora
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Bw. Rogath John Mboya ameahidi kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), katika kuhamasisha kujiunga na huduma zake ili wajihakikishie huduma za matibabu wakati wote bila…
Tanzania yaadhimisha Siku ya Mikoko Duniani kwa kupanda miti 5,000
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania leo imeadhimisha kwa mara ya kwanza kitaifa Siku ya Kimataifa ya Mikoko Duniani, kwa kupanda jumla ya miti 5,000 ya mikoko katika eneo la Kilongawima, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam – ikiwa…
TMA yatoa elimu ya hali ya hewa Nanenane
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetumia fursa ya Maonesho Nanenane 2025 kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni, Dodoma kutoa elimu kwa jamii kuhusu huduma zitolewazo na jukumu kubwa la TMA la kudhibiti shughuli…
TANESCO yazindua mfumo wa kupokea taarifa za siri
Na Mwandishi wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua mfumo wa kupokea taarifa za siri (Whistleblower portal) ambapo mfumo huo unaenda kurahisisha upokeaji wa taarifa kutoka kwa wananchi. Amebainisha hayo Agosti 4,2025 Jijini Dar es Salaam,Kaimu…
Wagombea ubunge CCM Kibaha Mjini kila mmoja aanika ahadi kwa uzito
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Katika zoezi la kupiga kura za maoni kwa ajili ya kumpata mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), jumla ya wajumbe 5,743 walijitokeza kupiga kura kati ya 6,300 waliotarajiwa…