Author: Jamhuri
Soko la nyama Vingunguti kuzalisha ajira 232
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imesema Soko la Nyama Choma Vingunguti litatoa ajira 232, zikiwemo 15 za kudumu. Mkuu wa Masoko katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Alex Buberwa…
Wawekezaji sekta ya madini wakaribishwa Mtwara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Wawekezaji katika Sekta ya Madini wamekaribishwa kuwekezwa katika mkoa wa Mtwara kutokana na uwepo wa madini ya aina mbalimbali yakiwemo madini mkakati yanayotumika kwenye shughuli za viwanda. Hayo yamesemwa na Mhandisi wa Migodi Mwandamizi, Michael…
Waziri Mkuu anadi vivutio vya utalii, uwekezaji
▪️Ni katika siku ya Tanzania kwenye maonesho ya Osaka World EXPO 2025 ▪️Asema mauazo ya bidhaa za Tanzania Japan yafikia sh bilioni 37 ▪️Asisitiza Tanzania ni mahali salama kwa uwekezaji WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema ushirikiano wa Tanzania na Japan…
Kabila : Kongo inaendeshwa kidikteta
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila amesema anapanga hivi karibuni kutembelea mji wa Goma uliodhibitiwa na waasi wanaoungwa mkono na Rwanda wa M23. Kabila aliitaja serikali ya sasa ya Kongo kuwa ya kidikteta baada ya…
Mashambulizi ya Urusi yamesababisha vifo vya watu 12 Ukraine
MAAFISA wa Ukraine wamesema mashambulizi ya Urusi nchini humo yamesababisha vifo vya watu 12 huku jeshi la taifa hilo likitangaza kuyadungua makombora 45 na droni 266 katika mashambulizi hayo. Kituo cha huduma za dharura cha Ukraine kimeelezea mashambulizi hayo kuwa…
Rais Mwinyi awaahidi klabu ya Simba dola laki 1 za kimarekani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuizawadia Klabu ya Simba kiasi cha Dola Laki Moja za Kimarekani endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Dkt. Mwinyi ametoa…





