Author: Jamhuri
Shirika la Posta la Marekani lasimamisha usafirishaji mizigo ya China
Shirika la Posta la Marekani limesema limeacha kupokea mizigo kutoka China bara na Hong Kong kwa muda usiojulikana. Huduma ya barua haitaathiriwa na usitishaji huo, ilisema shirika hilo, ambalo lilikataa kutoa sababu ya uamuzi huo. Hata hivyo, mnamo Jumanne sheria…
Wananchi watakiwa kutumia fursa ya miradi kuunganisha umeme – Kapinga
📌 Lengo ni wananchi kuepuka gharama inayotokana na kuunganisha umeme wakati miradi imekamilika Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa rai kwa wananchi kuunganisha huduma ya umeme wakati miradi mbalimbali ya umeme inapotekelezwa ili kuepuka gharama inayoweza kutokea pale miradi…
Mtukufu Aga Khan IV afariki dunia, urithi wake utadumu milele
Dunia imepata pigo kubwa kufuatia taarifa za kifo cha Mtukufu Aga Khan IV, Karim Al-Hussaini, aliyefariki Februari 4, 2025, jijini Lisbon, Ureno, akiwa na umri wa miaka 88. Aga Khan IV alikuwa kiongozi wa 49 wa madhehebu ya Shia Ismailia,…
CAG Kichere aipa heko TANROADS ujenzi uwanja wa ndege Msalato
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Charles Kichere amepongeza kasi ya ujenzi wa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato wenye ukubwa wa hekta 4,500 ( hekari 11000). CAG Kichere ametoa…
Mvua yapoteza miundombinu Chuo cha Sauti Mtwara
Na Mwandishi Wetu, Mtwara Kufuatia mvua kubwa iliyonyesha Februari 3,2025 imesababisha maafa kwa baadhi ya maeneo ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara hususani kwa wanafunzi wa Chuo cha Sauti na Utumishi. Maafa hayo yametokea mtaa Kiyangu ‘B’ ambako wanafunzi…
Trump apendekeza Marekani ichukue udhibiti wa Ukanda wa Gaza
Rais wa Marekani, Donald Trump, na Waziri Mkuu wa Israel, Netanyahu, wamefanya mkutano wa waandishi wa habari ambapo Trump ametoa pendekezo kwamba Marekani “ichukue udhibiti” wa Gaza, na kuwahamisha watu milioni 1.8 wa Gaza kwenda nchi nyingine za Kiarabu. Trump…