Author: Jamhuri
Biharamulo kuwa kinara uzalishaji kahawa Kagera
Na Daniel Limbe,Jamhuri Media,Biharamulo IMEELEZWA kuwa serikali inakusudia kuongeza uzalishaji wa zao la kahawa kwenye wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera ili kuinua uchumi wa jamii na kuchangia pato la taifa ukilinganisha na hali ilivyo sasa. Wilaya hiyo ambayo ni miongoni…
BoT kuendelea kudhibiti athari za huduma za mikopo mitandaoni (Kidigitali)
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua mbalimbali katika Kudhibiti athari za Huduma za mikopo ya kidigitali ikiwemo kuelimisha umma kutumia Huduma ndogo za Fedha zinazotolewa na mtoa Huduma mwenye…
Tanzania, Marekani zajadiliwa uwindaji wa kitalii kwa njia ya mtandao
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na ujumbe kutoka Idara ya Uvuvi na Wanyamapori ya Serikali ya Marekani kujadili pendekezo la Taasisi…
Waziri Kijaji afungua mkutano wa Uchumi wa Buluu COP29
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya Mkutano wa Pembezoni mwa Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) mjini Baku, Azerbaijan, ukiwa na agenda inayohusu Uvuvi Endelevu na Uchumi wa Buluu. Lengo la Mkutano huo ni kutangaza…
Serikali kushirikiana na USAID, Ubalozi wa India kuboresha sekta ya afya
Serikali kupitia Wizara ya Afya haitasita wala kusitisha ushirikiano uliopo baina ya ubalozi wa India pamoja na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa nchini Tanzania (USAID) ili kuendelea kuboresha Sekta ya Afya nchini. Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama…