JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Maonyesho ya GEL yafungua milango ya mafanikio kwa wanafunzi wa Kitanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMIA ya wanafunzi wanaotaka kusoma kozi mbalimbali nje ya nchi wamejitokeza kwenye maonyesho ya vyuo vikuu nje ya nchi ambapo wengi wamepata udahili wa papo kwa papo. Maonyesho hayo yaliyofanyika jana jijini Dar…

Balozi Hamad akutana na Balozi wa Malawi, waweka mikakati ya ushirikiano

Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji alikutana na Wezi Moyo, Balozi wa Jamhuri ya Malawi nchini Msumbiji kwa lengo la kujitambulisha na kuzungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Tanzania na Malawi. Balozi Moyo…

Waziri Mavunde akagua maendeleo ujenzi wa jengo la ghorofa nane la TGC Arusha

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema kuwa zaidi ya sh. Bilioni 33 zinatarajiwa kukamilisha mradiwa jengo la TGC Arusha. Waziri Mavunde ameyasema leo jijini Arusha alipotembelea eneo la ujenzi wa jengo la kisasa la ghorofa…

DC Mwakilema aipa kongole Muhimbili na Vodacom kwa huduma za matibabu Tanga

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tanga Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. William Mwakilema amekoshwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya ubingwa bobezi bure zinazotolewa na Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila kwa kushirikiana na Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation…

Mafunzo ya uimarishaji mpaka kimataifa kuwajengea uelewa wataalam wa Tanzania na Burundi

Serikali imesema kuwa, mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Burundi yanalenga kujenga uelewa wa pamoja kati ya wataalamu wa nchi hizo mbili. Hayo yamebainishwa leo tarehe 22 Julai 2025 jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya…

Rais Samia kuzindua bandari Kavu Kwala Julai 31

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dkt .Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala pamoja na miradi mingine mikubwa ya kimkakati. Akizungumza na waandishi wa habari Julai…