JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wananchi wahimizwa kulinda miundombinu ya elimu Iringa – RC Kheri

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Kwa kutambua kazi iliyofanywa na serikali Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Kheri James amewahimiza wananchi Mkoani humo kuhakikisha wanalinda na kuitunza miundombinu iliyojengwa katika sekta ya elimu mkoani humo ili iweze kutumika kwa muda…

Bajaji, bodaboda wamtega Mkuu wa Mkoa Arusha

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Wakati Jiji la Arusha likikabiliwa na changamoto ya msongamano unaotokana na wingi wa vyombo vya moto kama pikipiki maarufu kama bodaboda, bajaji na guta, bado madereva wa vyombo hivyo wamemuomba Mkuu wa Mkoa huo Kenan…

Bil. 67.507 kuimarisha sekta ya elimu sekondari Mkoa wa Lindi na Pwani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP katika Mkoa wa Lindi imetoa Shilingi Bilioni 31,716 kwa ajili ya ujenzi wa…

Tanzania, Belarus zafungua ukurasa mpya wa ushirikiano

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amesema ziara yake nchini Belarus ambayo ni ya kwanza ya ngazi ya juu tokea nchi hizo zilipoanzisha uhusiano wa kidiplomasia mwaka 1996, imefungua mwanzo mpya wa ushirikiano katika maeneo ya kimkakati yenye…

Majaiwa akutana na Waziri Mkuu wa Belarus

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Belarus, Alexander Turchin na kujadiliana naye masuala ya uwekezaji, biashara, nishati, madini, elimu, afya, teknolojia na kilimo kwenye kikao kilichofanyika leo (Jumanne, Julai 22, 2025) ofisini kwa mwenyeji wake, mtaa wa…

Rais mstaafu Msumbiji awasili Mtwara kumbukizi ya hayati Mkapa

RAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi amewasili hapa nchini katika Mkoa wa Mtwarakwa ajili ya kuelekea Lupaso wilayani Masasi kwenye Kumbukizi ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati…