JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kamati ya Kudumu ya Bunge Nishati na Madini yaridhishwa na maendeleo ya kiwanda cha nguzo za zege

*Ni mradi wa kihistoria kutekelezwa chini ya Serikali ya awamu ya Sita Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Tabora Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na Ujenzi wa Kiwanda cha Zege kinachomilikiwa na kampuni tanzu ya TANESCO ya…

Chalamila atoa rai shule mkoani Pwani kuanzisha klabu za kupinga rushwa

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Crispin Chalamila, ametoa wito kwa shule zote za msingi na sekondari mkoani Pwani ambazo bado hazijaanzisha klabu za kupinga rushwa, kuhakikisha zinaanzisha klabu hizo…

Prof. Kabudi ashiriki maadhimisho Siku ya Jumuiya ya Madola jijini London

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba Kabudi, ameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika jijini London, Uingereza, yakihusisha nchi wanachama 56 wa jumuiya hiyo. Sherehe hiyo ilijumuisha matukio mbalimbali, ikiwemo hafla ya kupandisha…

Siasa za ulimwengu zinaathiri nchi za SADC

Hali ya sasa ya siasa za ulimwengu na vita zinazoendelea Mashariki ya kati, imesababisha madhara makubwa ulimwenguni ikiwemo kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na huo ni ujumbe tosha kwa nchi zetu kuchukua hatua Madhubuti za…

Tanzania yajinadi uimarishaji usawa wa kijinsia wa haki kwa wanawake mkutano wa CSW 70

📌 Waziri Gwajima atoa taarifa ya nchi katika mkutano huo Na WMJJWM New York Marekani Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza mshikamano wake na nchi wanachama wa jumuiya ya kimataifa katika kuendeleza ajenda ya usawa wa kijinsia duniani….

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kutembelea Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Jackson Kiswaga leo Machi 12, 2026 imewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa ajili ya ziara ya kutembelea Mradi…