JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Samia, Dk. Nchimbi njia nyeupe Ikulu

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dodoma Haijapata kutokea. Haya ni maneno aliyopenda kuyatumia aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Magharibi (CCM), Theodos James Kasapira. Nikiri nilipopewa mwaliko wa kuja hapa Dodoma kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM, niliifahamu ajenda moja ya msingi ya…

Sakata la Abdul, Nimemkumbuka Ridhiwan Kikwete

Na Kambi Mbwana, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani nchini, leo kinafanya uchaguzi wa viongozi wao. Katika uchaguzi huu, nafasi ya Mwenyekiti na Makamu wake zimekuwa na joto kali. Wanaowania…

Kitima ana biashara gani CHADEMA?

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mgombea wa nafasi ya uenyekiti ndani ya chama hicho, Tundu Lissu, wakati wa mchakato wa kampeni zake amebainisha kuwapo kwa watumishi wa Mungu…

Ni Samia

*Haijapata kutokea: Yeye, wenzake wapitishwa bila kujaza fomu *Dk. Mwinyi akabidhiwa bendera ya CCM urais Zanzibar *Dk. Nchimbi apitishwa kuwania u-Makamu wa Rais kumrithi Dk. Mpango *Wasira ‘Tyson’ akabidhiwa mikoba CCM Tanzania Bara Na Waandishi Wetu, Dodoma, Dar Mkutano Mkuu…

Mkuu wa Majeshi Israel ajiuzulu

MKUU wa jeshi la Israel Meja jenerali Herzi Halevi amejiuzulu, kutokana na kushindwa kuzuia uvamizi wa kundi la wanamgambo la Kipalestina la Hamas uliofanyika Oktoba 7 mwaka 2023. Katika barua yake ya kujiuzulu Halevi amesema sababu kubwa iliyomfanya kujiuzulu  kushindwa…

Majaliwa : Serikali imefanya uwekezaji mkubwa kwa TMA

▪️Lengo ni kuwezesha utoaji wa utabiri na tahadhari za hali mbaya ya hewa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika Mamlaka ya…