Author: Jamhuri
Wazazi wanaotafuta haki ya ‘kifo cha huruma’ kwa mtoto wao aliye kitandani miaka 12
Nirmala Rana, mwenye umri wa miaka 60, ameketi kando ya kitanda cha mwanawe mwenye umri wa miaka 30, Harish. Mwaka 2013, Harish, akiwa mwanafunzi wa uhandisi wa ujenzi, alianguka kutoka ghorofa ya nne ya jengo katika jiji la kaskazini mwa…
Baraza Maalumu la kumchagua Papa kuanza leo Vatican
Baraza Maalumu la Siri kwa ajili ya kumchagua kiongozi mpya wa kanisa katoliki duniani, litaanza baadaye leo kwenye Makao Makuu ya Kanisa Katoliki mjini Vatican. Makadinali 133 kutoka kila pembe ya dunia watakusanyika kwenye kanisa dogo la Sistine kuanza zoezi…
Marekani, China kuanza mazungumzo kuhusu vita vya kibiashara
MAAFISA wa Marekani na China wanatazamiwa kuanza mazungumzo wiki hii ili kujaribu kupunguza vita vya kibiashara kati ya mataifa hayo mawili yenye uchumi mkubwa duniani. Naibu Waziri Mkuu wa China He Lifeng atahudhuria mazungumzo hayo nchini Uswizi kuanzia tarehe 9…
India yaishambulia Pakistan kwa makombora
INDIA imefyetua makombora kadhaa ndani ya ardhi ya Pakistan mapema leo alfajiri na kusababisha vifo vya watu 8, katika mashambulizi yanayoweza kuzusha vita baina ya nchi hizo mbili jirani na hasimu wa miaka mingi. Mamlaka za Pakistan zimesema makombora ya…
Mvua yaleta maafa Moshi, watatu wafariki kwa kuagukiwa na nyumba wakiwa wamelala
Na Kija Elias, JamhuriMedia, Moshi Watu watatu wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kubomoka kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kilimanjaro. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey…





