JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Simba njia nyeupe

 SIMBA imeendelea kuthibitisha ni somo katika michuano ya kimaaifa baada ya leo kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0 mchezo wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Matokeo hayo yameifanya Simba ambayo tayari ilishafuzu robo fainali,…

Wazazi jamii ya kifugaji wamuomba Waziri kuingilia kati sakata la kuchukuliwa kwa watoto wao kinyemela

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Wazazi wa jamii ya Kimasai wamemuomba Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum , Dorothy Gwajima, kuingilia kati kitendo cha watoto wao kuchukuliwa kinyemela kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita kwa kuahidiwa…

‘Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa wa Chama Cha Mapinduzi’

“Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa Chama cha Mapinduzi, hiki ndicho chama kikubwa kuliko chama kingine hapa nchini, sisi ni chama kikubwa kimuundo, kioganaizesheni, kihistoria na hata kwa idadi ya wanachama” Dkt. Samia Suluhu Hassan

Matukio mbalimbali wakati Mkutano Mkuu wa CCM

Wajumbe wote wa kikao hiki ni 1928, wajumbe waliopata dharura ni 4 pekee, hivyo wajumbe waliodhuria ni 1924 ndani ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Conventional Centre. Hatua hii inadhihirisha uimara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa na idadi kubwa…

Wasira ndiye Makamu Mwenyekiti CCM

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MKUTANO Mkuu maalum wa chama Cha Mapinduzi (CCM),unaoendelea jijini Dodoma umechagua kwa kishindo Stephen Masato Wasira, kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara. Katika mkutano huo, kura 1921 zilipigwa, ambapo kura halali zilikuwa 1917. Kura…