Author: Jamhuri
Rais Azali: Comoro kushirikiana na Tanzania katika sekta ya kimkakati
Na Mwandishi Wetu Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Visiwa vya Comoro Mheshimiwa Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazumgumzo na Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro Mheshimiwa Azali Assoumani tarehe 16 Januari, 2025, Ikulumjini Moroni. …
NMB yawa Taasisi ya Kwanza ya Kitanzania kutambuliwa kama Mwajiri Kinara na Top Employers
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya NMB imekuwa Taasisi ya Kwanza ya Kitanzania kupata ithibati ya kuwa Mwajiri Kinara Tanzania kwa Mwaka 2025, inayotolewa na taasisi bobevu na mahiri ya masuala ya rasilimali watu ya Top Employers…
Wachimbaji wawili wa dhahabu wafariki Bariadi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Simiyu Wachimbaji wadogo wawili katika mgodi wa dhahabu Ikanabushu namba mbili ulioko katika Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wamekufa baada ya kufukiwa na shimo lililoporomoka wakiendelea na uchimbaji. Tukio hilo ni la usiku wa kuamkia Januari 15,…
Makosa ya udhalilishaji kijinsia yapungua Zanzibar
Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP ZUBERI CHEMBERA amesema Makosa dhidi ya binadamu yamepungua ambapo yameripotiwa jumla ya makosa 1,116 katika Vituo vya Polisi Zanzibar katika kipindi cha Januari hadi Desemba, 2024. Ikilinganishwa…
SGR yasafirisha wajumbe 922 kwenda vikao CCM Dodoma
Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema wametoa treni maalumu ya kisasa (SGR) kusafirisha takribani watu 922 wanaotarajiwa kushiriki kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaofanyika kesho na kesho kutwa…
NINIDA yaja na mbinu mpya kuhakikisha vitambulisho vinachukuliwa
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wale wote ambao hawakujitokeza kuchukua vitambulisho vyao vya Taifa vilivyopelekwa katika ofisi za Kata, Vijiji, Mitaa, Vitongoji na Shehia kufika katika ofisi za NIDA za wilaya walikojisajili kuchukua vitambulisho vyao mara watakapopokea ujumbe…