JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Biden atoa hotuba ya kuaga na kuhofia utawala ujao wa Trump

Rais wa Marekani Joe Biden anayetarajia kukabidhi madaraka kwa rais mteule Donald Trump Januari 20, ametoa Jumatano jioni hotuba ya kuaga na kuelezea wasiwasi wake kwa utawala ujao. Katika hotuba hiyo, Biden amesema Marekani inaangukia mikononi mwa matajiri wachache ambao…

NEMC Kanda ya Kaskazini yaeleza mikakati na mafanikio yake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kaskazini limesema limefanisha miradi yote mikubwa kama barabara, viwanda na migodi kuwa na cheti cha Tathmini ya Athari kwa Mazingira (EIA)….

Makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza yapongezwa kimataifa

Viongozi mbalimbali wa dunia wapongeza makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka ambayo yataanza kutekelezwa rasmi Jumapili mchana. Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi, ametoa wito wa kuwasilishwa kwa msaada wa haraka wa kibinadamu katika Ukanda wa Gaza,…

Wizara ya Nishati yawasilisha utekelezaji wa bajeti 2024/25 katika Kamati ya Kudumu ya Bunge

📌 Maeneo ya kipaumbele yaliyotekelezwa kwa mwaka 2024/2025 yaelezwa 📌 Ni pamoja na hali ya uzalishaji na upatikanaji wa Nishati ya Umeme nchini Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga (Mb) ameongoza Menejimenti ya Wizara ya Nishati kuwasilisha taarifa utekelezaji…

Maandalizi ya mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi Afrika yafikia asilimia 95 – Dk Biteko

📌 Watanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030 kutoka milioni 5.2 ya sasa 📌 Asema Mkutano wa Mission 300 umekuwa kivutio duniani; Taasisi za Kimataifa zaonesha nia ya kushiriki 📌 Ataja sababu za mkutano wa M300 kufanyika Tanzania Na Ofisi…