JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Jaji Mkuu: Toeni taarifa endapo hamjaridhishwa na huduma za mahakama

Na Mwadishi Wetu JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amewahimiza wananchi wanaopata huduma katika mahakama mbalimbali nchini kutoa taarifa endapo hawajaridhishwa na huduma walizopewa. Akizungumza leo Januari 14, 2025, katika Kituo Jumuishi cha Masuala ya Kifamilia kilichopo Temeke, Dar…

Wakili Mahinyila achaguliwa mwenyekiti BAVICHA

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakili Deogratius Mahinyila mechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema ( BAVICHA ) Taifa, leo Januari 14, 2025. Mahinyila ametangazwa katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, muda mfupi baada…

Maliasili, Mambo ya Ndani zatakiwa kushirikiana kukuza utalii

Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii imetakiwa kushirikiana kwa ukaribu na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kukuza soko la utalii nchini na kurahisisha utoaji wa huduma ya viza kwa watalii. Hayo yamesemwa leo…

Naibu Waziri Maryprisca Mahundi amuonya diwani kutopotosha umma

NAIBU Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Maryprisca Mahundi amemuonya Diwani Faustin Shibiliti wa Kata Igalula kutopotosha umma juu ya mkataba wa uwekezaji wa mnara katika kata hiyo ambapo ina minara miwili ya Vodacom na Halotel. Mhandisi Maryprisca…

Wawili wauwa katika ugomvi wa kugombea ardhi Mbarali, watatu mbaroni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mbeya WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili wakazi wa Kata ya Igurusi wilayani Mbarali na kujeruhi watu wengine watano wilayani humo kutokana na ugomvi wa kugombea ardhi…