Author: Jamhuri
Idadi ya waliofariki kwa moto wa nyika Marekani yafikia 24
Idadi ya watu waliokufa kutokana na moto wa nyika ulioanza tangu Januari 7 huko Los Angeles Marekani imefikia 24. Mwishoni mwa juma wafanyakazi wa zimamoto walipata ahueni baada ya hali tulivu ya hewa. Mamlaka katika eneo hilo zimeonya kuwa moto…
Rais Samia aipongeza Zanzibar Heroes
Repost from @samia_suluhu_hassan Ninaipongeza Zanzibar Heroes kwa kufanikiwa kufika hatua ya fainali ya Mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Mmejitoa, mmejituma na sote tunajivunia safari yenu hadi sasa. Mchezo huu wa fainali ni nafasi ya kipekee kwenu kuandika historia, nasi tuko…
Mwanamuziki wa injili Rehema Simfukwe atoboa siri sababu kutunga wimbo wa Chanzo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWANAMUZIKI maarufu katika Muziki wa Injili nchini Rehema Simfukwe amevunja ukimya kwa mara ya kwanza kwa kuamua kutoa sababu za kutunga wimbo wa Chanzo ambao umekuwa ukipendwa na kuvuta hisia za watu wengi…