Author: Jamhuri
Shekalage : Kuweni waadilifu, wawazi, nidhamu na pesa za wafadhili
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, jinsia Wanawake na Makundi Maalumu Dr Seif Shekalage amezitaka asasi za kiraia nchini kuwa waadilifu, wawazi wenye nidhamu ya pesa zinazotolewa na wafadhili kwa ajili ya usimamizi wa…
Ukraine yapokea miili ya wanajeshi 563
Serikali ya Ukraine imethibisha kupokea miili ya wanajeshi 563 kutoka kwa mamlaka ya Urusi ambao wengi wao ni wanajeshi waliouawa katika mapigano katika eneo la mashariki la Donetsk. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa hii leo imesema kuwa miili mingine…
Hezbollah kulipiza mashambulizi
Hezbollah imetangaza kurusha makombora katika kambi ya Jeshi la Wanamaji la Israel na uwanja wa ndege wa kijeshi karibu na mji wa Haifa kwa mara ya pili katika muda wa chini ya saa 24, huku kukiwa na makabiliano ya wazi…
Wagombea hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waweke pingamizi ndani ya siku 2…
Wahariri na waandishi wa habari watakiwa kuweka maazimio ya kukuza taaluma
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wahariri na Waandishi wa habari nchini,wametakiwa kuweka maazimio machache yatakayokwenda kufanyiwa kazi kama sehemu ya kukuza taaluma ya habari eneo la weledi. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu Katibu mkuu Wizara ya Habari Mawasiliano…
Kuongezeka kwa viwango vya maji katika Ziwa Victoria kunatishia kisiwa cha Ukerewe
Kufuatia mabadiliko ya hali ya hewa na vipindi vya mvua visivyotabirika, Ziwa Victoria limeshuhudia kuongezeka kwa kiwango cha maji kwa kiwango kikubwa hali inayoweka mazingira na watu wa Ukerewe katika hatari. Kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi wa satelaiti mwaka…